Features SWALA YA MAITI
Hapa utajifunza namna ya kutekeleza ibada ya kumswalia maiti ama swala ya jeneza.
Tumeandaa somo hili kwa ajili ya kutoa elimu kwa waislamu ambao wanataka kujifunza swala ya maiti na namna ya kumhifadhi maiti wa kislamu.Katika somo hili pia utajifunza namna ya kuandaa sanda ya maiti wa kike, kiume na watoto.
Pia utajifunza jinsi ya kumtwaharisha maiti wa kislamu.
Tunatarajia kuongeza masomo zaidi kuhusu mada hii ya maiti.
Tunatarajia radhi za Allah katika kazi hii na kwako ndugu msomaji tunatarajia dua njema.
Secure & Private
Your data is protected with industry-leading security protocols.
24/7 Support
Our dedicated support team is always ready to help you.
Personalization
Customize the app to match your preferences and workflow.
See the SWALA YA MAITI in Action
Get the App Today
Available for Android 8.0 and above